Nina Uraibu wa kutongoza

Nina Uraibu wa kutongoza

Bodhichitta

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
446
Reaction score
976
salaam,

hakika sio Kila ulevi husababishwa na pombe.

nahisi Nina Uraibu wakutongoza kwakweli, yaani kama mwanamke sio ndugu yangu akijiweka karibu namimi lazima nimtongoze hata kama najua huyu sina Nia nae na sifanyi nae Chochote lakin ni lazima nimtongoze kwanza.

akatae au akubali nikimtongoza hapo ndo moyo wangu hutulia.

mpaka najiuliza huu ni ujana au kitu gani?? Kuna wakati nahisi kukosa kabisa watu wakaribu wa jinsia ya kike.

ila ninachoshukuru Nina hekma saana, sina mazoea na mke wa mtu wala mwanafunzi hiki ndo ninachoshukuru.

naomba nieleweka hapa mim ni mtongozaji tu.. Uraibu wangu unaishia kwenye kutongoza tu.

nimejaribu kuomba ushauri wengi wanasema ni ujana tu Kuna muda ukifika nitaacha.
 
Hamna shida kama uraibu wako ukiuelekeza kwa mademu wakali five star tu. wakikukataa hamna shida wakikubali unakula mali international.

NO REGORMS NO ELECTION
 
Bodhi citta.
Now follows the definition of bodhicitta.

Ile akili anayokuwa nayo mtu.
"Nitajielimisha niwe mkamilifu.""
"Baada ya mimi kuwa mkamilifu nitawasaidia watu wotenay,sio wat wote,-- all sentient beings,viumbe wote wenye fahamu nitawasaidia kuwa wakamilifu"

Hii ndiyo maana ya bodhicitta.

Sasa ni ajabu kwamba wewe umelipata hili neno bodhicitta no doubt from Buddhist literature,how is it that you can come up with this hogwash kuhusu kuxxxxxxx wanawake?

Na huyu mtu mwenye bodhicitta anaitwa " bodhisattva"

Huyu mtu anayewaza " lazima nijiokoe,lazima pia niwaokoe viumbe wote", huyu anaitwa " bodhisattva"

Natoa wito,natoa rai kwa bodhisattva wote ,vijana wote bodhisattva,wachukue fomu wagombee nafasi za uongozi katika Uchaguzi huu wa Oktoba.
 
Jana nilikuwa bar kidogo utokee ugomvi,jamaa kampelekea drink mke wa mtu.
Mume wake kidogo aje kutushambulia pale mezani kwetu. Walikuwa Wakongomani wale.
 
Una jini mahaba linakusumbua kalitoe hujaanza kutongoza wanafunzi.
 
Back
Top Bottom