TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
Teh teh sijui kafia wapi.....aje huku kiheshima la sivyo tumejaa tele.
Yan na hii wik tumeandamwa kama nn....na week ijayo zam yao lazma tuwaandame
Teh teh sijui kafia wapi.....aje huku kiheshima la sivyo tumejaa tele.
Tunarithi vingine na sio hisia za mapenzi.
Hahahaha jela tumeumbiwa watu sio wanyama wala miti
Yan na hii wik tumeandamwa kama nn....na week ijayo zam yao lazma tuwaandame
Amelianzisha balaa kule....nimechungulia nimeondoka!!!
Nyota yako ya jela inang'aaa!
hahahaha mnanipa sana raha
hahahaha mnanipa sana raha
Amelianzisha balaa kule....nimechungulia nimeondoka!!!
Shida iko wapi sasa hapo?
Hiyo pia inategemea tu na mtu mwenyewe mbona kuna watu wakubwa ila ni kama fyatuhakuna shida ila angalizo tu wakati wa kuselect wenza swala la gape ya umri ni muhimu pia kama uko serious na mtu mnataka kuowana.
Hiyo pia inategemea tu na mtu mwenyewe mbona kuna watu wakubwa ila ni kama fyatu
kama le nanii yule hata gap liwe 10 years haisaidii
Ha ha ha ha sasa huyo hata gap ikiwa 20 unadhani kuna faida yeyotele totoz leo nimeliona mitaa ya posta na Noah yake kioo cha nyuma kalijaza maandishi kama gari la promotion. pale ni janga ameshasema hadate na mbabes over 30's.
Sina uhakika kama unajua maana ya neno UPENDO...