REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,966
Nmekuwekea ulanzi kwenye frij beby ili ukija uzimue kwanza
maswala ya kuharibiana fridge aisee siyahafiki,bora ungeweka gongo its more preferrable to i than ulanzi
Nmekuwekea ulanzi kwenye frij beby ili ukija uzimue kwanza
maswala ya kuharibiana fridge aisee siyahafiki,bora ungeweka gongo its more preferrable to i than ulanzi
Afu bby kuna mtu kapitisha kimpumu au nikuchukulie iii itakufaa
Mi wangu kanizidi umri na sioni issue hata kidogo so long as ana vigezo nnavyotaka.
endelea kuidanganya nafsi yako tu.
baada ya miaka minne ndo umekuja kupost ,ulimwona daktari wa akili kabla
Sina uhakika kama unajua maana ya neno UPENDO...
Unatafuta sababu ya kumuacha tu mwenzio...na humu utaipata.
Njoo unioe mie nina miaka 12...
Mnhhhhh Kim nana ya Kweli haya
Siidanganyi nafsi ndio uhalisia...
Kweli tena...Kama unabisha njoo umuulize mama...
Nakuja mbiombio bila kuchelewa mtoto km ikiwa Kweli ,hiyo guessí-½í¸†í-½í¸†í-½í¸†í-½í¸í-½í¸í-½í¸í-½í¸í-½í¸
Hahahaaa, unatafuta jela wewe...ujue sijaacha kwenda clinic bado...
jamani nina mpenzi wangu huu ni mwaka wa nne tupo pamoja tatizo ni kwamba tupo umri sawa (28) na tunapendana sana .
Sasa naombeni ushauri maana nasikiaga sio vyema mkifanana umri na huu mwaka i plan to get married with her. Jamani please help me.
love is blind, the fact is muangalie baba yako amepitwa miaka mingapi na mama yako acha kujitia wehu.
Heheheee best nmefurah sana kukuona leo nmekumbuka yule mji.nga wa jana mlimkomesha licha ya uzi kufutwa