Intelligencer AI
New Member
- Jan 20, 2024
- 4
- 2
Habari ndugu zangu kwa mtu mwenye sehemu nzuri yenye mzunguko wa watu dar es salaam aniunganishe nataka nifungue juice point. Mjasiliamali mwenzenu nimejipigapiga nimekusanya ka'mtaji sasa najaribu kupangilia niweze kifanikiwa kuanza kwa hiki kidogo nilicho nacho kwa sasa.
NINA SHIDA NA;
1. Eneo zuri lenye watu wengi kwa dar. Pia kama una fremu tayari unaikodisha kwa bei nafuu nicheki
2. Nahitaji ku'design muonekano wa nje wa sehemu ya kibanda. Hapa zinahitajika mbao au mabati, kwa anayejua upatikanaji wa hivi vitu msaada tafadhali
3. Freezer
4. Vibali muhimu vya hii biashara na ushauri
NB: Uchangiaji wako utakuwa faida kwa wengi humu, karibuni na na nitangulize shukrani