Basi muda wake wa kutumika umeisha;nimebadili sana mkuu
ha ha ha haNunua simu acha masihara
nimewahi kuwa na cm ka hyo ilikuwa inataka sehemu ambayo mtandao upo active tena kijijn ndo balaa kabisa embu badil line hyoWakuu nina kisimu cha button tecno T349 Tangu juzi kinaandika no service nkitoa line kinasema Insert sim card Je shida ni nini wakuu kwa sim one na sim two zote slots, kunakipindi kilikuwa kinasema invalid imei, baada ya siku mbili kakarudi fresh
ha haaNunua simu acha masihara
Angalia imei km zipo sawa. Usisahau kunijulisha.Wakuu nina kisimu cha button tecno T349 Tangu juzi kinaandika no service nkitoa line kinasema Insert sim card Je shida ni nini wakuu kwa sim one na sim two zote slots, kunakipindi kilikuwa kinasema invalid imei, baada ya siku mbili kakarudi fresh
Tecno sio simu
😀😀😀😀Nunua simu acha masihara