Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

Dnmunisi

Member
Nov 11, 2020
18
16
Habari wana Jf

Jamani mimi ninasumbuliwa na tatizo la macho tangu nikiwa na miaka saba macho yananiwasha sana muda wote mchana na usiku pia ila usiku ndio sana na kadri ninavyokua ndo naona yanazidi kuwasha na kutoa machozi na yana maumivu makali yanachoma choma.

Nimeenda hospitali nikapewa dawa ila bado hazijasaidia.
 
Mkuu dalili mojawapo kubwa ya macho ni kuwasha nenda kituo cha afya upate matibabu ya haraka maan ukiacha itakuja leta shida ukaanza vaa miwani
 
Umejaribu kufuatilia kuwa ni miezi gani huwa yanasambua zaidi au huwa ni mwaka mzima bila kuachia.
 
Mie hii hali huwa inanitokea mchana wa jua kali, macho yanakuwa yanawasha na kutoa machozi haswaa pembeni mwa jicho
 
Umri wako mkuu??
Vipi kuhusu suala la kuona mbali na karibu?( mfano: unapotumia simu unaiweka karibu sana au mbali sana?)
Unaona vitu clearly(sharp image) au ni blurry?
 
Habari wana Jf

Jamani mimi ninasumbuliwa na tatizo la macho tangu nikiwa na miaka saba macho yananiwasha sana muda wote mchana na usiku pia ila usiku ndio sana na kadri ninavyokua ndo naona yanazidi kuwasha na kutoa machozi na yana maumivu makali yanachoma choma.

Nimeenda hospitali nikapewa dawa ila bado hazijasaidia.
Tafuta hiyo dawa itakusaidia, zaidi kamuone daktari.
20201221_213002.jpg
 
Umri wako mkuu??
Vipi kuhusu suala la kuona mbali na karibu?( mfano: unapotumia simu unaiweka karibu sana au mbali sana?)
Unaona vitu clearly(sharp image) au ni blurry?
Nina miaka 20
Sina shida ya kuona mbali au karibu ninaona kila kitu clearly mkuu..... Ila hivi karibuni kuna wakati naona giza alafu napata maumivu makali ndani ya macho na machozi
 
Allergic conjunctivitis, tumia dawa za allergy kama Cetrizine au Loratidine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom