Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

Umri wako mkuu??
Vipi kuhusu suala la kuona mbali na karibu?( mfano: unapotumia simu unaiweka karibu sana au mbali sana?)
Unaona vitu clearly(sharp image) au ni blurry?
Mm nna 40+ tatizo hili limenianza mwezi wa 11, mwaka jana. Ulichoeleza ndo shida yangu ili niona vitu clear lazima niweke simu mbali kama futi 1.5 hivihadi 2 naomba kama ni dr unijibu inbox nitafurahi sana japo ijumaa naenda hospitali
 
Back
Top Bottom