Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

.
IMG_20211101_215711.jpg
 
Wanapenda kula biriani na kuku wa kupakwa kwahiyo ndovyakula tunavyokula na kama chakula ni tatizo mbona wao hawajambijambi kama mm

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sababu ushaijua, ni chakula chenye viungo vingi.
Kama upo serious kweli hapo lazima utafute mlo uliouzowea au Kama umenogewa na hivyo vyakula sindikiza mbogamboga nyingi, au hata na mtindi Kama wanavyofanya wenzako hapo.
 
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mbona wao hawajambijambi kama mm na wote tunakula chakula the same

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom