machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,199
- 4,987
Mimi ni kijana mwenye miaka 23 ninahisi nina tatizo la kisaikolojia kwasababu tokea nikiwa nina miaka 13 nilikua mpiga punyeto hodar kwasababu nlisoma bording na nilikua naogopa madem.so.nkawa nafanya yangu sasa mwaka jana nikaona bora nitafute mwanamke nijaribu kwa mara ya kwanza,nlikua naogopa kweli tulivyokua faragha.baada ya kumuandaa nikazamisha kitu sasa wakati nafanya akachomoa akidai tuvae kinga! Basi nkapoteza kujiamin uume ukalala nika panic nikaacha lile tendo nikawa nawazaga nini kimenikuta baada ya hapo nikawa naendelea na masturbation kama kawa., sasa mwaka huu kuna msichana nimempenda miez kama 3 nyuma nikasema naacha puli mazima na kwel nina miez 3 sijafanya kabisa na ninachukia hiyo kitu kuliko hata njaa,sasa najiuliza tukisex itakuaje nitaweza ama ntaaibika tena? ila uume wangu uko fiti asubuh kama kawa mnara.full ila nahia kama kufanya mapenzi ni kama mtihani na ninajiuliza hiyo siku nitumie kilevi gani nijitoe ufahamu! naombeni ushaur