Nina tatizo jamani, ninaomba ushauri wenu!

Nina tatizo jamani, ninaomba ushauri wenu!

^^
Tafuta ajira kwanza umuweke ndani, hiyo misimamo yake na huo wasiwasi wako utakosa nguvu
^^
 
kaka katika suala la mapenzi kiuhalisia hakuna mapenzi yenye uwiano sawa ila kuna mmoja atampenda mwenzie kwa dhati na mwingine ni ilimradi tu wawe wapenzi....................
ikija kutokea wameachana mwisho wa siku atakayejilaumu ni yule aliyependwa na siyo aliyependa hivyo mkuu kwa kuwa unampenda maji yakifika shingoni achana nae na usije ukampenda tena katika maisha yako!!!!
:A S-omg:
 
Hapo kwenye kujiona una maamuzi itakucost hata ukienda kwa mwanamke mwingine..
..wanawake wengi wamefunguka now wanapenda kusikilizwa na kushirikishwa,sasa wewe inaelekea unauanaume uliopitiliza na hiyo inakupelekea umuone mwenzio ni jeuri na mkorofi..
...jishughulishe upate kipato hiyo itarudisha heshima na kukuona mwanaume kamili..
..wanawake wengi wanapenda mwanaume anaetenda na sio kulialia..
 
hayo ni mambo yako binafsi hayatuhusu mbona ulipokuwa unamtongoza hukujaomba ushauri!
 
Back
Top Bottom