Nina tafuta bank itakayo nikopesha kwa harak | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina tafuta bank itakayo nikopesha kwa harak

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbwambo, Oct 19, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Je nitapata wapi bank ambayo itakubali kunikopesha million kama 15 ili nilipe deni kama 3.7 milion deni lingine kwenye bank fulani kisha nipate tofauti yake?
  Nina shida imenipata ya daharura lakini baadhi ya bank wanataka nipitishie kwanza mshahara wangu kwa miezi mitatu
  siwezi kupitishia kwanza pengine mpaka nimalize kuwalipa deni hapo ninapodaiwa
  asante
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Jaribu Azania Bank
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asante sana nitajaribu kuwapigia
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ukishindwa Azania bank,jaribu kwenda UBA au Ecobank,masharti yao hayajabana kivile kama bank mama zetu
   
 5. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  asante sana na mungu akubariki nitakwendahizo bank tajwa nimeshawapigia azania lakini hawana customer care nzuri
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  wana support watu wa up country pia ma ni lazima niwepo Dar?
   
 7. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Arusha na mwanza wana branch,mikoa mingine sifahamu kwakweli!
   
Loading...