Nina swali nisaidieni jibu

Lupaya

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
248
93
Kuwatapeli watu maskini kwa ahadi za maisha za bora kwa kila mwanakaya kwa lengo la kupata kura, ukishapata unaanza kujitajirisha wewe ukiwatelekeza watu maskini uliowadanganya. Watu wanapoanza kuliza na kuhoji uhalali wa hali halisi ulivyo, ikiwa pamoja na ufisadi, upendeleo, unyanyasaji, uongozi mbaya nk. wanaanza kuambiwa ni wachochezi na wenye lengo la kuvuruga amani. Hivyo kuwatumia vyombo vya dora kuwafanyia kila aina ya hila ikiwa ni pamoja na kuwapiga mpaka kuua. Sasa nauliza, hii ndio maana halisi ya siasa hususani huku kwetu Afrika?

Naombeni jibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom