,,nina stress nzito..nammiss nimpendae..!!

,,nina stress nzito..nammiss nimpendae..!!

WaliNazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
851
Reaction score
96
nimezidiwa na hii hali.! Nimpendae yuko mbali nami,, tiba ni yeye tu na hayupo..

Sina tabia ya kupoa milupo''left overs'',,

what do i do? ubongo umestuck

Mnapambana vp na hii hali?!
 
nimezidiwa na hii hali.! Nimpendae yuko mbali nami,, tiba ni yeye tu na hayupo..

Sina tabia ya kupoa milupo''left overs'',,

what do i do? ubongo umestuck

Mnapambana vp na hii hali?!
Huna sabuni au lotion??
 
nimezidiwa na hii hali.! Nimpendae yuko mbali nami,, tiba ni yeye tu na hayupo.. Sina tabia ya kupoa milupo''left overs'',, what do i do? ubongo umestuck Mnapambana vp na hii hali?!
Kawasaidie mafundi wanaotengeneza barabara ya Kimara kule Dar mpaka itakapokamilika utakuwa umeshamsahau kabisa.
 
nimezidiwa na hii hali.! Nimpendae yuko mbali nami,, tiba ni yeye tu na hayupo..

Sina tabia ya kupoa milupo''left overs'',,

what do i do? ubongo umestuck

Mnapambana vp na hii hali?!

Kwakuw hushajiwekea akilini kuwa dawa ni yey..basi mvute aliye mbali muweke kwenye mkon wenye sabuni lain dk mbili nying then utatoa ushuhuda
 
Gonga nyeto tu sasa kama kwenye kilo hutaki kwenda utasaiwa je?nyeto tu
 
urafiki wa mbali tabu tupu....
sitaki hata kuusikia, na kwa teknolojia ya sasa, watu huishia kutumiana nyuchi zao huko wazap, viber...
wakati hapa uswazi kwetu wamejaa wadada wa haja, lol.... endeleeni kuumia.
 
nimezidiwa na hii hali.! Nimpendae yuko mbali nami,, tiba ni yeye tu na hayupo..

Sina tabia ya kupoa milupo''left overs'',,

what do i do? ubongo umestuck

Mnapambana vp na hii hali?!
ukiona unawaza mapenzi ujue huna kazi ya kufanya timiza majukumu yako
 
nimezidiwa na hii hali.! Nimpendae yuko mbali nami,, tiba ni yeye tu na hayupo..

Sina tabia ya kupoa milupo''left overs'',,

what do i do? Ubongo umestuck

mnapambana vp na hii hali?!

yuko mbali kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom