I always do this. It helps
Kawasaidie mafundi wanaotengeneza barabara ya Kimara kule Dar mpaka itakapokamilika utakuwa umeshamsahau kabisa.
urafiki wa mbali tabu tupu....
sitaki hata kuusikia, na kwa teknolojia ya sasa, watu huishia kutumiana nyuchi zao huko wazap, viber...
wakati hapa uswazi kwetu wamejaa wadada wa haja, lol.... endeleeni kuumia.