Nina social anxiety

Nina social anxiety

Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu,yani muda mwingi nipo mwenyewe,na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.
Hiyo ni hali ya kawaida kwa aina flani ya watu, na wewe ni miongoni mwao. ukiona hivyo wala usilazimishe kutafuta kampani, jikubali vile ulivyo.
Sometimes it is better to stay and enjoy your own company.
 
Sio tatizo hilo.hata mimi uwa na hyo tabia.kama sina cha kuongea uwa nakaa kimya.
Uwa napenda kukaa peke yangu.na uwa sipendi mazoea na watu,nina rafiki mmoja tu.wengine wote ni washkaji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
卻我想說出去了

Mkuu jikubali binaadam wameumbwa tofauti..
Mm nina tatizo kama lako, sitaki rafiki, sichat na mtu, sipigi story na mtu.. rafiki yangu pekee ni simu na Ear phones baasi huku nikiperuzi jf

不能容忍别人博客 不麻木波
我方!
Bila shaka mtoa mada hatumii Techno.
 
Wewe tatizo unalijua ila hutaki kulishihulikia,... Make ur steps towards solutions usidhan kuna mtu au Dawa itakayo kutoa kweny iyo situation motivate urself to be social, sasa ukijifungia watu hawatakufata na kila mtu Ana yake kichwani,... You're ur own problem to the solution
 
卻我想說出去了

Mkuu jikubali binaadam wameumbwa tofauti..
Mm nina tatizo kama lako, sitaki rafiki, sichat na mtu, sipigi story na mtu.. rafiki yangu pekee ni simu na Ear phones baasi huku nikiperuzi jf

aisee itabidi ifunguliwe special thread ya ME, MYSELF & I
 
Jitahidi uwezavyo kujichanganya kwani kuna matatizo mengi utayapata kiafya,kiakili na hata kiuchumi,fanya juhudi bado hujachelewa madhara yake huwa ni makubwa sana baadaye.
Ushauri wako nimeuelwa vizuri sana
kwa uzoefu wangu kupenda kuwa peke yako kuna sababishwa na-

kuhisi umezidiwa kila kitu na wanao kuzunguka anzia namna ya kuvaa,elimu, mali, muonekano yaani kifupi kujiona daraja la chini ivo suruhisho ni kukaa peke yeko (kujitenga)

kupenda kupiga puri,na kuangali video/pivha za ngono kitu kinacho pelekea muda mwingi kutamani uwe peke yako ujilipue

aibu na kuhisi watu wanao kuzunguka wanakuona mtu duni kulinganisha na wao

cha kufanya: ikubali hali yako na puuzia mawazo ya hovyo ya kujiona duni dhidi ya wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coke...

Labda kuna kitu kiliwahi kukukwaza??
Au ni tabia ya kuzaliwa yaani ni uko hivyo toka udogoni?
Jitafute hapo kwanza....
Hata mimi naganana sana na tabia hizo ... lakini nilikaa nikajitafakari mwenyewe.. ili kujua sababu!
Jibu nililopata ndio limefanya mpaka leo hii niwe hai....nilishafika mbali sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umezaliwa kati ya 23/08 hadi 22/09 , kuna uhusiano na unayo yasema. Jibu ni kwamba wala usihangaike kwa wataalamu wa psychology ukapoteza pesa , kwa sasa ndivyo ulivyo ni asili yako ,chakkufanya ni jitambua uko hivyo , ikubali hali hiyo .
Kujitambua ni mihimu sana....
Na kujikubali....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana,ni kweli nina stress sana kiasi kwamba kuna muda napata kabisa mawazo ya kujiua.
Duh !!!! .... Mimi nina sifa kama zako ila sichukii kuongea na mtu ...pia nina stress za kawaida ... Ambazo hazijafikia kunipatia msukumo wa kujiua ....

Sipendi kushinda shinda na watu hovyo " bila ya kuwa na mikakati yoyote endelevu ya maisha ... simu na PC. Ndio zimekuwa rafiki yangu mkubwa kwa sbabu zinanisaidia kuwa na marafiki kama wewe ambaye sijui hata unaishi wapi lakini tunaweza kuunga wajihi kisha tukaanza kushare materials mbali mbali ambayo yatatusaidia kuweza kujikwamua dhidi ya changamoto zinazotuzunguka " (na nina enjoy hii life style )

USHAURI --- kwa kuwa umetueleza kuwa una stress jitahidi sasa Kuanza kutafuta watu wakujichanganya nao .... angalia vile vitu unavyo vipenda kisha tafuta watu ambao wanavipenda vitu hivyo kisha shirikiana nao ... bila kusahau usiache kutazama series .movies kila unapo kuwa peke yako " pia tafuta vitabu vya kujisomea vinavyo husu content ambazo zinahusiana na masuala yanayo changia kukupatia msukumo wa stress lakini viwe ni vile ambavyo huwa vinakupatia alternative ya kujikwamua ulipo kwama "

NIMALIZIE TU KWA KUSEMA ---- binafsi huwa napenda kuwa na stress kwa kiasi fulani kwa sababu huwa zinanisaidia kuweza kupata majibu ya matatizo yanayo nizunguka

Pole sana Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tanzania kuna wataalam wanaotoa huduma za saikilojia (therapy/counsell) za mambo haya ya anxiety? Ni wapi mnaojua tusaide watu wetu.
 
Back
Top Bottom