Utakuwa na stress haswaTafadhali naombeni msaada ndugu zangu,nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu,yani muda mwingi nipo mwenyewe,na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.
Asante sana,ni kweli nina stress sana kiasi kwamba kuna muda napata kabisa mawazo ya kujiua.Utakuwa na stress haswa
Find a psychologist atakusaidia
Ila wakati mwingine ni poa zaidi kuwa hivyo kuliko kuwa mmbea mmbea au mwana majungu.
Nashukuru sana ndugu,yani kama kuangalia mpira ndiyo sipendi kabisa, kwenye sherehe siendi, sometimes hata kwenda kusalimia tu ndugu zangu siendi sababu wanaongea sana wakati mimi mwenyewe sipendi maneno mengi.Jichanganye na watu,anza hata kwa kukaa vijiweni ukisiliza story au nenda kanisani au msikitini sikiliza neno la Mungu na kuanzisha urafiki na waumini wenzio itakusaidia,inawezekana sio muongeaji ,jaribu kuwa hata msikilizaji,kama kama kuna kiwanja cha mpira jirani nenda kaangalie mpira Ila usikae peke yako kaa karibu na kusanyiko la watu wengi uwe msikilizaji.
Jitahidi uwezavyo kujichanganya kwani kuna matatizo mengi utayapata kiafya,kiakili na hata kiuchumi,fanya juhudi bado hujachelewa madhara yake huwa ni makubwa sana baadaye.Nashukuru sana ndugu,yani kama kuangalia mpira ndiyo sipendi kabisa, kwenye sherehe siendi, sometimes hata kwenda kusalimia tu ndugu zangu siendi sababu wanaongea sana wakati mimi mwenyewe sipendi maneno mengi.
Tuko wengi.卻我想說出去了
Mkuu jikubali binaadam wameumbwa tofauti..
Mm nina tatizo kama lako, sitaki rafiki, sichat na mtu, sipigi story na mtu.. rafiki yangu pekee ni simu na Ear phones baasi huku nikiperuzi jf
Tuko wengi.
"Being alone" and "being lonely" are too different things.Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,
Nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu, yani muda mwingi nipo mwenyewe, na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.
Duh ni hatari hyoAsante sana,ni kweli nina stress sana kiasi kwamba kuna muda napata kabisa mawazo ya kujiua.
Well, there are two words that describe us. Introvert, and judgemental. An introvert needs time alone to recharge, and being in company is draining, while an extrovert gets their energy being around other people.Yap Nafurahi nilivyoo hafu na vile sinaga maneno na mtuu..
I like to be alone, lakini katika hilo la kupata mawazo ya kujinyonga mimi sio kama wewe. Your problem is not been alone, you are lonely, and this is very big problem.Asante sana,ni kweli nina stress sana kiasi kwamba kuna muda napata kabisa mawazo ya kujiua.