Nina siku ya nne leo sijafanikiwa kupata huduma za Tanesco, natumia remote meter ambayo mpaka sasa haisomi,
Ina load tu na mwisho kudsplay AF-ERR
Kama kuna mtu ashakumbana na adha hii akaisolve technicaly, msaasa unahitajika

Hakikisha kama main switch haijajizima. Iwapo imejizima iwashe.
Hakikisha rimote meter yako ina betri nzima, chomeka kwenye socket, socket iwe on.
Bonyeza zero(0)halafu andika namba ya meter, bonyeza tena zero halafu andika namba ya meter then bonyeza ok. Subiri dakika tano ndipo uingize token