NakaziaMawe kwenye nyongo hayana tiba mbadala. Ni kuitoa tu. Ukishatolewa nyongo vyakula vyenye mafuta itakuwa kwako ni mwiko. Utaishi miaka mingi tu.
Kuna mama ametolewa Muhimbili kama ana wiki 3 sasa toka wamfanyie operationi na pia ana kisukari na sasa anaendelea vzr kbs alisharuhusiwa kurudiMkuu pharao vipi ulipata solution ya hilo tatizo?! Kama ndiyo, naomba unijuze manake nami mtoto wa sister ana hilo tatizo, na mbaya zaidi ana kisukari kwahiyo wanasema operesheni itakuwa vigumu
Ninachojua wanatolewa hizo jiweHabari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote.
So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda kweli?
Ni changamoto gani nitakutana nazo baada ya operation. Je kuna aina ya tiba mbadala ninayoweza kuifanya ikanisaidia kabisa?