Nina shida ya kuipata hii movie

Nina shida ya kuipata hii movie

davejillaonecka

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
701
Reaction score
753
Asee nina shida na Link

Ya kui-download high quality WEB DL, DVD rip, HD

Na sio ya CAM rip au HTs, cinema record.

Msaada asee wa link.

Naitafuta tangia mwaka jana

Asante


f37d1628bad1cbd2e48954e6a61d0d6e(1).jpg
 
Na mimi nashangaa hii movie hadi leo 'Haijatoka'
Kutoka imetoka mkuu tangia mwaka jana NOVEMBER kwa ulaya na DECEMBER kwa marekani..
Mtaani bongo zipo na hata kwenye website tofaut tofauti tatizo TATIZO ni recorded katika majumba ya cinema, poor video, poor audio.
 
Download bit torrent ama uttorent then nenda piratebay.org search hiyo movie halafu open magnet na uttorent itashusha movie ikiwa kwenye hdr
 
Back
Top Bottom