NINA SHIDA SANA NA HIZI NYIMBO

NINA SHIDA SANA NA HIZI NYIMBO

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari za jumapili wana jamii forum
KUNA NYIMBO MBILI NAZIYAFUTA ILA SIZIJUI MAJINA YAKE
1.Wa kwana umeimbwa na msanii CHIDY(sio chidy benz)na umekuwa Directed na CHRIS ila sijaua unaitwaje ni mpya mpya hivi unapendwa kupigwa EATV
2.Wa pilinkumbuka naneno yake jamaa anaeimba NINATAMANI ila sijajua ni wa nani na unaitwa ila ni wa HIPHOP KAMA SIKOSEI
Nisaidieni sana ninazipenda sana hizo nyimbo sijaweza kuzipta ypoutube kwa kuwa sijapata full details kuzihusu
 
Back
Top Bottom