Nina shida ndugu zangu!

Nina shida ndugu zangu!

halelwa

Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
28
Reaction score
2
NAOMBA MNISAIDIE NATAKA KUAGIZA GARI AINA RANGE ROVER 4.6 YA MWAKA 199[FONT=Arial, helvetica, sans-serif, MS Pゴシック, Hiragino Kaku Gothic Pro]5[/FONT]CIF DAR ES SALAAM / TANZANIA, UNITED REPUBLIC OF is US$3438. Included JAAI Inspection fee!USHURU ITAKUWA BEI GANI?NAOMBA MSAADA WENU.PICHA YA GARI HII HAPA
 

Attachments

  • 01w.jpg
    01w.jpg
    38.4 KB · Views: 117
nashukuru sana kaka kwa ushirikiano wako!🙂
 
Tupiamo kwenye hiyo Calculator ya TRA utapata ushuru wote. Otherwise wasiliana na hao wadau wakupe msaada wa kuitoa kabisa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
roughly kiasi ulichonunulia gari ndo hicho utalipia ushuru,handling,port charges,shipping agent fees n.k
 
Tupiamo kwenye hiyo Calculator ya TRA utapata ushuru wote. Otherwise wasiliana na hao wadau wakupe msaada wa kuitoa kabisa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nashukukuru kaka!
 
nawashukuru ndugu zangu wote mliochangia kwenye hii mada yangu!NITAFANYIA KAZI HAYA MLIO NISHAURI!ASANTENI.
 

Samahani ndugu zangu hv hii price list ya gari used!wameandika RSP (USD) 46,506 kwa range rover 4.6 ya mwaka 2002.hii inamaanisha nini?asanteni.au ndio dola $46,506 wakati gari yenyewe ni dola $10,000
 
NAOMBA MNISAIDIE NATAKA KUAGIZA GARI AINA RANGE ROVER 4.6 YA MWAKA 1995CIF DAR ES SALAAM / TANZANIA, UNITED REPUBLIC OF is US$3438. Included JAAI Inspection fee!USHURU ITAKUWA BEI GANI?NAOMBA MSAADA WENU.PICHA YA GARI HII HAPA
halelwa
chunga na jipange naona watu wengi humu watakuingiza choo cha kike.
Kwa mujibu wa TRA Range Rover zote za/chini ya mwaka 1996 bei yake ni 40,656 USD.

Sasa basi tukitumia calculator yao nimepata ni 3,974 USD.
attachment.php

garo kodi.jpg
 
USHAHURI WA BURE:

Achana na hili gari kwani kulitunza ni gharama sana kuliko hata Gharama ya Kulinunua.
nakushukuru sana kaka kwa ushauri wako mzuri!Kaka ukimiliki hii gari utagundua ni gari ambayo ni durable sana na haiharibiki hovyo,mimi nilikuwa nayo ya mwaka 2000 kuna mtu kaipenda nikamuuzia1ila nimeamua kuchukua vogue ya 2004! $(KGrHqJ,!rQFJJNvHbsiBSVZBI62QQ~~60_57.JPG
 
Hebu nipm nikuunganishe na bro wangu yeye naye anakampuni ya crearing and forwading
naomba mnisaidie nataka kuagiza gari aina range rover 4.6 ya mwaka 1995cif dar es salaam / tanzania, united republic of is us$3438. Included jaai inspection fee!ushuru itakuwa bei gani?naomba msaada wenu.picha ya gari hii hapa
 
Back
Top Bottom