Nina shauku ya kukutana na watu hawa face-to-face!

ahh thax jaman
karibu saaaaaana ata mi pia nina hamu ya kukuona
si tupo tu ebu wachek st roy,finest,asprn,teamo ,mwanajamiii watakupa mwongozo wa makutano!!!
jana tulikuwa pamoja na nyama mbuzi...ebu wachek ao watu watakupa raman na mama bg pia utamwona laiv!!!!!!

Nafikiri ile vita yetu na Paka Mweusi itakuwa imeisha.....halafu nilimsahau kwenye list....lakini naye yumo.....HESHIMA KWAKO PAKA MWEUSI. ha ha ha!
 
Wooow!
Mkuu, ni habari njema hii!
Wanasema mtu aliyefanikiwa zaidi maishani ni yule aliyeweza kutengeneza marafiki wengi zaidi!...Inafurahisha kuwa unatambua urafiki kati yetu, hatua ndogo ya mwisho ni kuonana tu!
Kwa mimi, ukifanikiwa kumpata Acid umenipata...
Karibu!

Thanx, bro!
 
kuna jamaaa anaitwa bwabwa !! hutaki kumuona?

mmmh! inaogopesha! hao hapana.....! mie nawapenda wale ambao tukiwa tunapeana the needful tunatazamana uso kwa uso sio mambo ya kumpulia kisogoni!
 
Thanks mkuu.

Naona nimekamata namba moja hapo, au haihusiani? Karibu mkuu.....Asprin anapatikana bar yoyote ile inayouza Serengeti au Valeur iliyopo Daslam. Nami pia natamani sana kukuona tuongeze idadi ya marafiki.

Poa kaka, najua hapo inapopatika serengeti na safari lager nayo itakuwepo manake mie hicho ndicho kipoza koo changu, see you soon!
 
Deodat

hizo ndevu tu ......zisijekuwa za kichina tu!

Heeh! hivyo kuna ndeVu za kichina? basi mie nataka za kifuani manake mrembo wangu kila tukiangalia movie basi yeye anawasifia kweli wanaume wenye ndevu (nywele) za kifuani i hali anajua mie sina, na mimi sasa tukiwa tunaangalia movie nawasifia wadada wenye makalio makubwa wakati yeye hana.
 
aKHA! Mama big namuogopa asije akanichakachua, nimesisitiza ni Agape love tu, anyway alitangaza chup* yake inanukia sana kiasi kwamba kuna mtu anaing'ang'ani, labda mie anipatie hiyo tu! kwi! kwi! kwi!
Orait, utakutana na baba B na digidigi finest
 
Poa kaka, najua hapo inapopatika serengeti na safari lager nayo itakuwepo manake mie hicho ndicho kipoza koo changu, see you soon!
baba Gift, toa coordinates za jioni. huyu mwanachama aweze kujionea raha ya jf.
 
Heeh! hivyo kuna ndeVu za kichina? basi mie nataka za kifuani manake mrembo wangu kila tukiangalia movie basi yeye anawasifia kweli wanaume wenye ndevu (nywele) za kifuani i hali anajua mie sina, na mimi sasa tukiwa tunaangalia movie nawasifia wadada wenye makalio makubwa wakati yeye hana.

Duh hapo lazima iwe kazi. Itabidi mchukuzane kwa mchina mkapatiw huduma japo kuwa madhara ya muda mrefu hayajajuulikana...........:(
 
Wooow!
Mkuu, ni habari njema hii!
Wanasema mtu aliyefanikiwa zaidi maishani ni yule aliyeweza kutengeneza marafiki wengi zaidi!...Inafurahisha kuwa unatambua urafiki kati yetu, hatua ndogo ya mwisho ni kuonana tu!
Kwa mimi, ukifanikiwa kumpata Acid umenipata...
Karibu!

swahiba... thanks kwa krosi, nakuja huko aisee kula bata wa esami kaa mkao wa kunywa
 
Sikuwa najua kuwa una ID mbili kaka............... orait orait
MJ1... unajua kwamba post yako itafanya mtu aamini mimi ni PJ?/ and you know its not true, do you know the implications? Na wewe umeshatuona wote?
 
Thanks mkuu kwa sasa niko mbali kidogo (nakula box huku ugenini th! th!) lakini punde nitakuja vacation home, lazima nitafute wapwaz!
Pamoja sana mkuu... chapa box ukirudi tuchape vumbi.... one love
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom