Nina shauku ya kukutana na watu hawa face-to-face!

Duuh, very sori Mpita njia, nimefanya kosa la kiufundi kototaja jina lako kwenye list, anyway, tuko pamoja, na tujumuike kwenye mipango ya kukutana ambayo wadau wameshaizungumzia!
 
eeh, sara jamani usichukie, sikumaanisha hivyo, hata wewe pia nataka nikuone uso kwa uso! tupange basi!
Mpange nini?wakati umeishachakachua jina lake??endelea na hao uliowachagua sisi na sarah wetu tumebakinaye huku! Nyie endeleeni kukutana chini ya mti!!!!
 
Nafikiri ile vita yetu na Paka Mweusi itakuwa imeisha.....halafu nilimsahau kwenye list....lakini naye yumo.....HESHIMA KWAKO PAKA MWEUSI. ha ha ha!

Heshima kwako pia mkuu,maana muda wote mi nimekaa kimya nakusikiliza tu sijui unamtakia nini Rose wangu?
 
Heeh! hivyo kuna ndeVu za kichina? basi mie nataka za kifuani manake mrembo wangu kila tukiangalia movie basi yeye anawasifia kweli wanaume wenye ndevu (nywele) za kifuani i hali anajua mie sina, na mimi sasa tukiwa tunaangalia movie nawasifia wadada wenye makalio makubwa wakati yeye hana.

Yaani hapo nimecheka mpaka basi. Asante.
 
Heeh! hivyo kuna ndeVu za kichina? basi mie nataka za kifuani manake mrembo wangu kila tukiangalia movie basi yeye anawasifia kweli wanaume wenye ndevu (nywele) za kifuani i hali anajua mie sina, na mimi sasa tukiwa tunaangalia movie nawasifia wadada wenye makalio makubwa wakati yeye hana.

Hiyo ya kwenu kali!
 
Wengi niko sure hawangependa kunekana!!, Huu mtandao umeficha mengi, Hata pengine wengine wajifanya WAKE hapo hapo pia Wajifanya WAUME (Semenya), Usiombe kukutana nao; Wengi watakuwa Mabubu!!!!!!!!!!!!
 
sasa wewe unataka bifu aisee
 
Wengi niko sure hawangependa kunekana!!, Huu mtandao umeficha mengi, Hata pengine wengine wajifanya WAKE hapo hapo pia Wajifanya WAUME (Semenya), Usiombe kukutana nao; Wengi watakuwa Mabubu!!!!!!!!!!!!

Mie mama big ndio nina mashaka nae sana!
 
:doh::doh: nimekosekana:doh::doh:

inhhiii! inhhiii! unhhuu! nalia sana jamani nimemsahau Maria Roza kwenye list, nisamehe sana mama, na heshima nyingi sana kwako. huna tofauti na hao walioko kwenye list. Pokea saluti zangu nyingi zenye uzito huohuo!
 
Mpange nini?wakati umeishachakachua jina lake??endelea na hao uliowachagua sisi na sarah wetu tumebakinaye huku! Nyie endeleeni kukutana chini ya mti!!!!

Kaka kiiza wewe ungekuwepo kwenye list tatizo ni hiyo avatar yako, nina wajukuu wadogo wasije wakalia bure labda unihakikishie kuwa hiyo picha siyo wewe!
 
MJ1... unajua kwamba post yako itafanya mtu aamini mimi ni PJ?/ and you know its not true, do you know the implications? Na wewe umeshatuona wote?

Kamanda with all regrets.........please I didnt mean any harm. nilikuwa najaribu kufurahisha uma kwa jinsi Paka Jimmy alivyoiandika post yake am sorry........... Really I am.

Kwa kosa hili naomba BAN.
Kaka PJ am sorry sikumaanisha any harm.......................Am Banned
 
he, nimepita bahati mbaya tu hapa.
hongereni kwa kutafutana wapendwa wa one love.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom