Nina shauku ya kukutana na watu hawa face-to-face!

Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

Inshallah Mungu akipenda!

Mkuu hutaki kumuona miss chagga uso kwa uso?? mi binafsi natamani nionane nao wote kasoro mmoja tu... mshana jr huyu jamaa nikikutana nae uso kwa uso ntakimbia aiseeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom