Wana JF wenzangu kutokana na hali ya kisiasa inavyobadilika kila kukicha ninaona picha fulani ya maisha na huduma za kijamii kuwa ngumu kwa wananchi wa kipato cha kawaida kwa mwaka ujao. Mambo matatu yanayosababisha mashaka haya ni:-
1. Mvutano wa katiba mpya
2. Uchaguzi mkuu.
3. Wahisani kusitisha misaada
Nadhani sina haja kuyaelezea hayo yote matatu kuwa yanawezaje kuyumbisha hali ya maisha ya wananchi.
Ushauri wangu ni kwamba ifikapo mwk 2015 ni vema katika familia zetu tukaandaa utaratibu wakuweka Akiba ya Chakula cha kutosha ndani. Na sio chakula tu ila hata Akiba ya Fedha ya dharura. Ingawa tunashauriwa kuweka fedha Bank ila ni vema kuwe na akiba yako fulani kwani sector za Kibenki hazitabiriki muda wote. Mfano migomo nk