Nina shahada ya Uhandisi wa Mitambo, natafuta ajira

Bado sijapata sehemu ya kujishikiza wakuu, mwenye connection anisaidie.
 
Kama unauwezo wa kulekebisha Tv,radio na simu why usifungue kijiwe ukafanya kazi hiyo naona mafundi wengi wanapiga pesa na wanamiliki mali za thamani kwa kazi hiyo ikiwa ni huku mikoani tu sembuse huko jijini
 
Natamani leo kesho kufanya hivyo ulivyonishauri. Changamoto yangu ni mtaji tu
Ningepata mtaji wa kukodi fremu walau kwa miezi miwili na hela kidogo ya vifaa ningefanya hivyo
 
Back
Top Bottom