Mechanical engineer natafuta kazi/internship

Mjuzi Wenu

Senior Member
Nov 18, 2017
108
100
Habari wakuu

Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo yaan mechanical engineering

Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea ili niweze kuendeleza taaluma yangu na kujiinua kiuchumi

kazi ninazo weza kuzifanya bila kusimamiwa ni
computer aided design (CAD)
engineering drawing kwa ustadi wa juu
machine maintenance
automobile maintenance
welding and fabrication
production plan and control

kwa sas nipo dar es salaam ila nipo tayali kufanya kazi katika mkoa wowote

natanguliza shukrani
 
kozi ngumu halafu ukimaliza, ukija kitaa ajira hamna.dadeki....
 
Si kweli hii ni course yenye uhitaji mkubwa sana pia kazi zipo nyingi ila kinacho fanya watu wengi washindwe kupata kazi mapema ni kutokana na mifumo ya nchi yetu kwa vijana wasio kuwa na uzoefu na connection za kazi
 
Habari wakuu

Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo yaan mechanical engineering

Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea ili niweze kuendeleza taaluma yangu na kujiinua kiuchumi

kazi ninazo weza kuzifanya bila kusimamiwa ni
computer aided design (CAD)
engineering drawing kwa ustadi wa juu
machine maintenance
automobile maintenance
welding and fabrication
production plan and control

kwa sas nipo dar es salaam ila nipo tayali kufanya kazi katika mkoa wowote

natanguliza shukrani

IMG_3460.jpg

IMG_3459.jpg

jaribu kufatilia hizi nafasi
 
Habari wakuu

Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo yaan mechanical engineering

Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea ili niweze kuendeleza taaluma yangu na kujiinua kiuchumi

kazi ninazo weza kuzifanya bila kusimamiwa ni
computer aided design (CAD)
engineering drawing kwa ustadi wa juu
machine maintenance
automobile maintenance
welding and fabrication
production plan and control

kwa sas nipo dar es salaam ila nipo tayali kufanya kazi katika mkoa wowote

natanguliza shukrani
tUWASILIANE KWA KAZI YA KUFUNDISHA LEVEL 1-3 KIDT VTC MOSHI 0717157640
 
Back
Top Bottom