Natafuta sehemu ya kujitolea, nina Shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano

Apr 1, 2021
57
50
Utangulizi

Mimi ni Graduate,nina shahada ya teknolojia habari na mawasiliano kutoka chuo X mjini dar mwaka wa masomo 2020,,baada ya kumaliza chuo nimetafuta sehemu ya kufanya kazi ili niweze kujimudu na uzoefu kwenye fani yangu ila nimekoswa pamoja na yote namshukuru Mungu nimeweza kuwepo mjini hadi leo hii;

kiuhalisia baada ya kuomba ajira kwa muda mrefu yapata mwaka mmoja tangia nimalize chuo nimekoswa,,,nimeamua kutumia njia mbalimbali kutafuta taasisi binafsi au uma/serikali au kwa mtu binafsi yeyote naomba msaada nipate sehemu ya kujitolea au namna ya kupata hiyo nafasi BURE nikiwa na dhamira ya kupata uzoefu katika fani yangu kwa ajili ya maisha yajayo.

N.B. Nimeamua kujitolea kutokana na kutambua kuwa elimu niliyonayo nahitaji kujiendeleza kwa vitendo ili kujiweka sawa katika soko la ajira.

Napatikana dar es salaam.

Naamini kwa kuwa humu ndani sote ni ndugu wamoja mtanisaidia kwa hili.

Shukrani.
 

Troyes

JF-Expert Member
Aug 1, 2018
1,201
872
naweza networking katika (LAN)vlan
computer maintenance and repair
database
web development na mobile app development ila tangia nifanye nikiwa shule sijaifanyia mazoezi Tena kutokana na mazingira yalokuwepo ila nikikaa Nika settle nafanya
Si utakua umesahau sasa au?
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom