Mkuu hiyo issue nilishawahi kuifatilia wiki iliopita nina classmate wangu ana mashamba huko,ila ni Miaka 5-7 kupata Mti,minimum years mengine ni Mpaka 10years.Kuna jamaa anayauza ntakutumia namba yake PM
Naomba unitumie na mimiKuna jamaa anayauza ntakutumia namba yake PM
Ni vigumu kama sio haiwezekani kabisa kuwa na madhamba ya miti inayokomaa ndani ya miaka miwili, please do not raise your hope that much.
Pili umesema umepata faida ya 1.5M ila hukusema ni kutokana na biashara gani na pengine ilikuchukua muda gani kupata hiyo faida. Kama ni biashara halal na ndani ya Muda mfupi umeweza kupata faida ya 1.5M kwanini usiendelee na hiyo biashara? Kwanini usiwekeze zaidi kwenye hiyo biashara?
NB:kwa kusikia na uelewa wakawaida miti huchukua wastani kwa kiwango cha chini kabisa 7 Yrs. Sio muda mrefu ila kwakubwa muda unakwenda sana ila ishu ni pale kitu cha kusubiri miaka 7 wewe uwe na matarajio ya miaka 2 hapo ndipo ishu ilipo ila kama utawekeza ukiwa unajua kuwa it acha kua miaka 7 hakuna shida. Kila la kheri.
Mkuu mimi niko interested sana na kilimo nitakutafuta baadae tuzungumze zaidi, kuhusu kilimo cha vitunguuMkuu napiga mishe za kilimo cha vitunguu so ni halali na nataka nifanye nifanye kitu kwa sababu sitaki hela yangu ikae tu benki bila kuwa na faida yoyote....ahsante kwa maoni yako
Ni v izuri SanaMkuu napiga mishe za kilimo cha vitunguu so ni halali na nataka nifanye nifanye kitu kwa sababu sitaki hela yangu ikae tu benki bila kuwa na faida yoyote....ahsante kwa maoni yako
Mkuu labda umenielewa vibaya namaanisha shamba lina miti ya miaka miwili siyo miti inayokomaa kwa miaka miwili........ahsanteNi vigumu kama sio haiwezekani kabisa kuwa na madhamba ya miti inayokomaa ndani ya miaka miwili, please do not raise your hope that much.
Pili umesema umepata faida ya 1.5M ila hukusema ni kutokana na biashara gani na pengine ilikuchukua muda gani kupata hiyo faida. Kama ni biashara halal na ndani ya Muda mfupi umeweza kupata faida ya 1.5M kwanini usiendelee na hiyo biashara? Kwanini usiwekeze zaidi kwenye hiyo biashara?
NB:kwa kusikia na uelewa wakawaida miti huchukua wastani kwa kiwango cha chini kabisa 7 Yrs. Sio muda mrefu ila kwakubwa muda unakwenda sana ila ishu ni pale kitu cha kusubiri miaka 7 wewe uwe na matarajio ya miaka 2 hapo ndipo ishu ilipo ila kama utawekeza ukiwa unajua kuwa it acha kua miaka 7 hakuna shida. Kila la kheri.
Hio biashara ni nzuri ila inachukua muda ushauri wangu hakikisha unaponunua aina ya miti yaweza kuuzikaMkuu labda umenielewa vibaya namaanisha shamba lina miti ya miaka miwili siyo miti inayokomaa kwa miaka miwili........ahsante
Sasa nimekupata vyema.Mkuu labda umenielewa vibaya namaanisha shamba lina miti ya miaka miwili siyo miti inayokomaa kwa miaka miwili........ahsante
Ahsante Sana Mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kazi...ubarikiweHio biashara ni nzuri ila inachukua muda ushauri wangu hakikisha unaponunua aina ya miti yaweza kuuzika
Hakikisha eneo halina vichaka vinene na matukio ya kuchomeana moto mara kwa mara
Hakikisha unaponunua unafaamiana na mtu hata mmoja utakae kuwa unamtumiahela hela kidogo kwa kukulindia
Hio biashara ni nzuri ila inachukua muda ushauri wangu hakikisha unaponunua aina ya miti yaweza kuuzika
Hakikisha eneo halina vichaka vinene na matukio ya kuchomeana moto mara kwa mara
Hakikisha unaponunua unafaamiana na mtu hata mmoja utakae kuwa unamtumiahela hela kidogo kwa kukulindia
Kuna mbinu nyingi za hii biashara kutegemea na aina ya mitiNaomba mkuu unielekeze hiyo biashara inayokuingizia vizuri, mimi muda ninao, nitashukuru