Nina raha jamani

Nitonye haishi vituko hebu muulize alishahama nyumba aliyomkuta baba mwenye nyumba anakula mali zake huku hajafinga komeo bafuni?

Ntakujuza lakini hakun ubaya si ndiyo maisha.

keshaliona swali,tungoje majibu
 
Nitonye haishi vituko hebu muulize alishahama nyumba aliyomkuta baba mwenye nyumba anakula mali zake huku hajafinga komeo bafuni?

Ntakujuza lakini hakun ubaya si ndiyo maisha.

Ile inshu niliisolve kiume ila mama mwenye nyumba naona analeta habari za eti kama nimeona basi nimalizie kabisa
 
kumbuka kuwa hyo raha kuna sku itageuka karaa au huzur au kilio si unajua ngoma ikivuma sana hupasuka?
 

ndio chit chat hiyo. Na mambo yakienda kombo aje kutuambia pia
 
Ile inshu niliisolve kiume ila mama mwenye nyumba naona analeta habari za eti kama nimeona basi nimalizie kabisa

Kwa hiyo mkuu utamaliza kabisa au ndiyo itakuwa niaje? Hongera kwa kusolve.
 
Baba mwenye nyumba ni mtu wa pwani wanatabia ya kuwatelemsha watu mabusha mwili wangu hautaweza kuubeba ule mzigo

Nimekupata ila bondia haogopi ngumi za usoni mkuu, na nahodha haogopi honi za meli kwikiwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!!! Akili kumkichwa changanya naa za mbayuwayu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…