Nina one ya 8 PCB; Naweza kupata MD fourth round UDOM?

Nina one ya 8 PCB; Naweza kupata MD fourth round UDOM?

dogo km unatoka familia ya kayumba km mm nakushauri acha kwenda kupoteza miaka mitano kupiga MD kwa sasa, km inawezekana apply hata doctor of dental surgery muhas kwan bado ina market kubwa ila MD Utakuja jutia buree waulize waliomaliza kuanzia 2015 watakueleza vizuri
 
Wamenichagua architecture VP nzur,??
Fanya mpango wa transfer hio architecture itakusumbua mno kwanza course duration ni 5yrs the same as MD so hapa ushauri wangu tafuta nafasi ya kuhama chuo either bugando,kcmc au udom japokuwa ni ngumu ila jaribu bahati yako
 
Nina one 8 PCB naweza kupata MD fourth round udom? Msaada
Sikukatishi tama hebu jaribu ila me mwenzio niliomna hapo nikiwa na 1.7 ila hata mungu anajua ila kwasasa niliomba KCMC na wakanikubali ila kwa maajabu zaidi ya yote katika list ya course zinazo taka watu pale UDOM MD nayo ipo sijui umenielewa hapo??
 
Nafasi MD ipo kwasababu kuna watu walikuwa na multiple selection wakaconfirm somewhere else.
 
Nimesoma mahali udahili umefunguliwa kwa MD program ya UDSM. Kama una sifa na hajapata chuo mpaka sasa, anaweza kufanya application.
Udsm wamenichukua architecture VP naweza badil CCB ,
 
Udsm wamenichukua architecture VP naweza badil CCB ,
fanya re-application mdogo wangu, MD mwisho tarehe 3 sio mbali, UDSM, kuliko kubaki na architecture, si kwamba ni kozi mbaya, ni nzuri ila ya muda mrefu kama Md, na soko si kubwa
 
Back
Top Bottom