Nina mtoto baada ya mwaka mmoja wa ndoa

Nina mtoto baada ya mwaka mmoja wa ndoa

Masai unanipenda ama unanitamani

Go straight mara mwandiko mbovu Mara napenda muandiko

Sitakinataka azina nafasi jf

Tangaza nia tukuombee

Hahahah Pdidy una makusudi wewe , leo ndo nimejua umewazidi waJF ujanja.

Nimekumiss pia, nikaribishe kwa zawadi basiii....
 
Last edited by a moderator:
Mwaa mwaaaq mwaaaaa lizy wanguu was ukweliii so wakina Masai aka escrow wanataka kuvuruga upendo wetu sisi at una acc mkombozi bana
 
Najaribukufikira hats maternite naona umezidisha ulikuwa wapi mwqya ukiwiwa namba ni ileile tigop mp tunapokea kwa kazi ya bwana
 
Lizzy hiyo avator ulikuwa unabatizwa??naonamkonoo kama UK o juuyamaji
 
funguka vizuri au huyu mtoto ni wako kwa sababu haiwezakani mwenzako amemwacha halafu wewe unataka kumchukua hujaona wanawake wengine
 
Bora umwambie mtu ukweli tangu mwanzo, achague kusuka au kunyoa kuliko kuficha afu akaja kujua.
 
Najaribukufikira hats maternite naona umezidisha ulikuwa wapi mwqya ukiwiwa namba ni ileile tigop mp tunapokea kwa kazi ya bwana

Hahahahah we Pdidy wewe. Acha majungu bana. Mi nataka uncle wako afikishe miaka mitatu ndo nimalize matenite au unataka nimuache na hausigelo apigwe kama mpira?!
 
Last edited by a moderator:
Lh usifike huko yule nyoka dia m sikuhizi hata girl anqpigiwa SAA saba usiku simuulizi kimoymoyo nasema endelea Dada loh
 
Huyo ni zoba, Mwanamke akiwa amezaa anajulikana, bila hata kukwambia. Mwambie akamchukue mke wake, kwani siku zote hizo hajajua kuwa mkewe ana kid, hayo ni ya kukaa na kuongea tena amelee yule kid mwingine vizuri tu. Ndiyo ubaba huo wanaume hatupaswi kureact hivyo ukisikia mwenzio ana kid.
 
Jrpriiiknnjndoknedddokejmeswwww krk uborawake
 
Back
Top Bottom