Nina mtaji wa 2M naomba wazo la biashara

Ungekua Dodoma ningekushauri ufungue Stoo au Duka la Nafaka.

●50k unapata fremu mtaani unalipa miezi mitatu 150k.

●250k mzani kimeza cha mbele ya ofisi na matengezo kidogo kilingana na chumba cha frem kitavokua.

●1100k unapata kilo 500 za mchele mzuri ambao unauzika mtaani 2800 kwenda juu weka hapo.

●300k Hii itumie kununua Sembe 50k mifuko miwili, Ngano 40k mfuko1 Maharage 50k kwa kilo25 na mayai trei5 kwa 45k.

●Utabaki na 300k Cashi ya kuanzanayo ya kuangalia kipi cha kujazia au kuangalia wateja watakua wanataka bidhaa zipi pia
 
Yaani alipe Kodi 50k Kwa mwezi alafu any ue mzani na kimeza na ukarabati Kwa 250k?
 
Wakuu habarin!

Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani.

Wakuu mwenye wazo la biashara naomba anisadie, napatikana Mwanza, kuajiriwa nimechoka Sana.

Naombeni wazo la biashara wakuu.
Tafuta odds 3 tatu za uhakika tia mzigo utapata 6 mil
 
Back
Top Bottom