Nina mpenzi wangu

Hilo neno sijawahi kutana nalo, ila kama ataleta maneno mbofu mbofu naelewa huwa ni mizinguo tu na mwisho wa siku atalainika mwenyewe.
 
Ukiona amekujibu kuwa ana mpenzi jifanye unaondoka alafu toa burungutu la pesa linyooshe kwa juu huku unaondoka, atakuita fasta nakukwambia sina mtu nilikuwa nakutania
 
Siku hizi ukisema una mpenzi anakwambia hvyohvyo......
 
Ukiona amekujibu kuwa ana mpenzi jifanye unaondoka alafu toa burungutu la pesa linyooshe kwa juu huku unaondoka, atakuita fasta nakukwambia sina mtu nilikuwa nakutania
Sasa huyu anajiuza......yani ubadilishe maneno kama kichaa kisa burungutu
 
unatafuta mwingine..........
 
Hakuna gari linalotembea njiani bila dereva... So ni manuva yako mkuu
 
unamwambia kuwa hakuna shida nifanye spare tu halafu badae utachagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…