Huu umeme wa 2 phase shoti yake ni ndogo ambayo haiwezi kumuumiza mtuUtajuaje sasa kuna shoti
Labda umeme wa solar Ndiyo uguse na hizo surgical gloves zako. Otherwise huu wa 240v utakuja kutusimulia kilicho kupata. Kama una bahati lakini.Gloves za buku tu zinasolve hii problem unayotaka kutengeneza
Huyo hapanaX wangu aliomba kuja kulala humu...
Haha Haha Haha Haha Haha.Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana
Hii ni mara ya tano naibiwa vitu ndani nikiwa safarini
wahuni wanavunja kufuli la Grill, wanavunja kitasa cha mlango kisha wanaingia wanaiba vitu
sasa nataka niweke mfumo wa Shoti ya umeme kwenye Kitasa Cha mlango wa Nyuma, atakaekuja kujichanganya sitakua na msaada nae
Taarifa za kuibiwa zilishafika kwa balozi, mwenyekiti wa mtaa lakini hakuna msaada wowote
NB: mda wa kuwasha mfumo ni saa 4 usiku na kuzima saa 12 asubuhiView attachment 3150152
Wewe unaishi Tanzania kweli??Labda umeme wa solar Ndiyo uguse na hizo surgical gloves zako. Otherwise huu wa 240v utakuja kutusimulia kilicho kupata. Kama una bahati lakini.
Sasa Kosugi kilichokuchesha hapo ni nin? Wenzako palestina huko wanakufa na njaa na utapia mlo wewe upo hapa jamvin unakenuakenua meno tu.Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana