Nina mpango wa kuoa mzungu

Jitahidi kubadilisha mtazamo, kama kina yes sir wabongo wamekushinda sasa kina equal rights sidhani kama utawaweza. You need an overhaul ya mtazamo wako wa wanawake na nafasi yao kwenye mahusiano.

Pia tabia ni ya mtu binafsi so pamoja na general observation ya hapo juu, bado waweza pata chakaramu au a saint! Good luck!

umemaliza cna cha kuongezea kaz kwako mtoa mada!
 
Wazungu huwa hawaolewagi na mwafrika, wanaoa wao!!. Kwahiyo bora kusuka kuliko kunyoa!!.
 
mambo ya sizitaki mbivu hizi, wanaooa huoa tu kimyakimya, ila wale wa mafastresheni ndio mnakujaga kufungua uzi kuonesha mlivokanganyikiwa.
 
Warusi nakubali ni masikini lakini hakuna anayewafikia kwa uzuri kati ya wadhungu. Hata huko US wana soko kubwa kuliko wadada wa US wenyewe.

hawa masikin sana unaowa mzigo badala ya kuleta neema ktk family pili mvuto less ata product unayotoa inakuwa ya ovyo wazungu wa usa na america yote ndo mambo super
 
Russia noma mkuu, kama siyo kwamba ana alikozimikia tayari namshauri atupie jicho wa-Scandinavia. Mvuto kwa kwenda mbele na hawana njaa kihivyo!

mkuu,nimetupia jicho kwa wa blondes wa scandinavia,mapigo ya moyo yameongezeka maradufu.vipi lakini hawa wa S.america eg,puerto rico,mexico..etc
 
hello ndugu zangu wana Jf.Mabinti wa kibongo wamenishinda hivyo nalazimika kuchukua uamuzi wa kubadilisha blood ya ukoo yaani nataka kuoa mzungu kwani kuna baadh yao wazuri na wanafahamu jinsi ya ku handle.Hawa wakibongo nashndwa kuwaelewa sijui umaskini au lah alafu wana mambo mengi sana.!nimetokea kupenda mzungu.
Una umri gani?
 
Kwa ushauri ni bora ukavumilia tu maana hao wazungu sio watamu kama wabongo!
Zaidi ya hao they are not 'HOT' nahisi ni kutokana na skin pigments zao.
Mimi nimewahi kuonja mmoja nikaona sifurahii kabisa na zaidi wanapenda unyonye nyeti zao!
 
Back
Top Bottom