Nina mpango wa kuoa mzungu

Jitahidi kubadilisha mtazamo, kama kina yes sir wabongo wamekushinda sasa kina equal rights sidhani kama utawaweza. You need an overhaul ya mtazamo wako wa wanawake na nafasi yao kwenye mahusiano.

Pia tabia ni ya mtu binafsi so pamoja na general observation ya hapo juu, bado waweza pata chakaramu au a saint! Good luck!

Ur WISE.nimependa comment yako.
 
Ili umpate haraka fanya hivi:
1.Kama hauna rasta anza kufuga fasta halafu ukitupia na shuka la kimasai ndio mwake kabisaaa.
2.Tembelea maeneo vinapouzwa vinyago na vitu vya asili lazima utakutana nao tu.
3.Hamia karibu na airport maana ndipo wanaposhukia wakitoka kwao au pia kama kipato na muda vinaruhusu anza ratiba za kwenda swimming kwenye hoteli za kitalii(angalizo jifunze kwanza kama haujui usije ukafuata mtoto wa kizungu anayeenda maji marefu ukazama kama nanga)
4.Kama unapenda mwanamke anayeoga kila siku then badilisha maoni wao kuna siku wanaji-sponge na maji kidogo na madawa yao ya kizungu.
5.Kuwa tayari kufanya mapenzi kwenye vyoo vya jumuiya(bar,ofisini etc) manaake wao hawapendi gharama zisizo za lazima kwa hiyo popote mechi.Pia kwenye lift usishangae ukidandiwa na mamaa ujue filimbi ishalia.
6.Bangi muhimu sana so watafute wanaJF wanaotumia cha Arusha wakueleze dependable outlets.
7.Fuga kajibwa kazuuuuri kadogo-dogo halafu penda kutembea nako jioni mitaa wanapopatikana wazungu.Unaweza hata usihitaji kumwaga vesi mbwa atasema yoooote.
8.Usijifanye sharobaro manaake huko kwao ndiko ulikoanzia kwa hiyo bora ujiweke simple kama Mrisho Mpoto au Remmy Ongala(R.I.P).
ALL THE BEST.
 
Mimi natafuta Mhindi, kuchukuchu hotae!

acha nao kabisa awafai kuna niliekuwa nasoma nae nikamwimbsha akaingia kingi baadae anakuja niambia mama yake kamtafutia mwenzake kutoka bombai nilipochunguza nikagundua alikuwa ananitumia kupata msaada katika masomo ila nilifahidi touch touch,bora useme watoto wa kimanga wapo wengi.kuhusu jamaa anaetaka wazungu we njoo kitu arusha wapo weng kuna kona zao vijana wanaweka flat screen<wauza sura>wanajiopolea mabinti wa kizungu swden,denmak na uk wasimple sana
 
warusi bomba, nikimpata hata leo naoa, wenzetu wanajf mlioko russia tafadhalini fanyeni mpango

hawa masikin sana unaowa mzigo badala ya kuleta neema ktk family pili mvuto less ata product unayotoa inakuwa ya ovyo wazungu wa usa na america yote ndo mambo super
 
Nina rafiki yangu anaye anajuta. Kila anapojaribu kumuonyesha anampenda mama ndo anazidi kukimbiza mchaka mchaka. Asikudanganye mtu, culture differences ni ngumu sana katika ndoa.
Utapenda uonekane kama mzungu na ndo hapo utaonekana zoba.
 
kuna mmoja kaolewa na mkurya anapika kirunguri na kichuri kama kawa.

Huwa hawaachiki hata umfanyeje.

Russia noma mkuu, kama siyo kwamba ana alikozimikia tayari namshauri atupie jicho wa-Scandinavia. Mvuto kwa kwenda mbele na hawana njaa kihivyo!
 
kijana wangu,oa mzungu kwa vile umempenda sio kwa vile wabantu hawafai,kama ni kiwango cha kuporomoka kwa maadili wazungu wametuacha mbali kwa nini utarajie mke mwema atoke pande hizo?

jambo moja nataka kushea nawe,mara nyingi ndoa za mchanganyiko kama hizo wahusika huwasaliti wenzao kwa watu wa race yao!mfano wewe toka unakuwa kiakili kwenye mawazo unamtengeneza mkeo akiwa kitu cha kibantu,leo ukubwani ghafla unaoa mzungu...trust me bro utamisi vitu vya kibantu na utakuwa ukikutana nao unakata kiu,it applies the same kwa mkeo wa kizungu naye wazungu wenzake atawamisi so later usijerudi hapa na thread nyingine MKE WANGU MZUNGU ANAWAPA WAZUNGU WENZAKE!usije sema MC TILLY CHIZENGA hajakuambia!lol!
 
wazungu wapo bomba sana, kwenye maisha ya ndoa hawana tabu kama dada zetu!
 
hello ndugu zangu wana Jf.Mabinti wa kibongo wamenishinda hivyo nalazimika kuchukua uamuzi wa kubadilisha blood ya ukoo yaani nataka kuoa mzungu kwani kuna baadh yao wazuri na wanafahamu jinsi ya ku handle.Hawa wakibongo nashndwa kuwaelewa sijui umaskini au lah alafu wana mambo mengi sana.!nimetokea kupenda mzungu.


Eti ulisema baadhi yao hao wazungu? Vipi baadhi ya hao wa kibongo? Jee uliwamaliza wote?
After all hilo la bold hapo ndio msingi, imetokea kuwa umempenda msichana wa aina hiyo na kwa yeye kukubalia endelea tu. Asiefunzwa na ***** ........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom