Nina mpango wa kumtelekeza mke

ndalaweya

Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
63
Reaction score
128
Nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida
 
Duuh achana nayo yalishapita, kwani bado anakusaliti?
 
Utuwekee namba hapa tuwe twamsaidia baada ya wewe kumtelekeza na kufarijiana.. Si unajua tuishi kwa upendo 🫪
 
Hivi huwa mnachimba nini? Mnachokitafuta sasa umekipata. Si vizuri kuchimba mwanamke.
 
Hata kama ni mimi nisingeweza kuvumilia hasa nikikumbuka ilikua ikichomoka anairudisha mwenyewe mbiombio 😥

Kingine unaweza kuta wakati unamnyandua anavutia hisia kwa hilo lijamaa lake 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…