Tayari ushasema au bado?sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje,,
Piga chini au ushachonga jeneza?naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
wakuu nina mke kiburi sana,,kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu,, yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje,, naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Em kwanza mfikishe kileleni usiku huu halafu kesho ulete mrejesho kama kuna mabadiliko yoyotewakuu nina mke kiburi sana,,kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia
Wanawake hakuna mwenye afadhari usiweke sijui IQ EQ CQ AQ BQ NQ FQ DQ SQ MQPole Sana.
Kama hana EQ fahamu tu atakusumbua Sana
Naona ushaweka Miguu juuyaani huyu mwanamke ni pasua kichwa,,,ana kiburi hatari nilishapiga sana hadi nimechoka,,,mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali aniokoe