Kiyumbi Yuga
Member
- Dec 13, 2017
- 92
- 169
Kwaiyo jamaa Mario?Kubwa jinga kabisa..vijana fanyeni kazi sababu huu umario utawapeleka pabaya sana..rubbish
Oa Mwanamke mwingine muweke ndani ataacha kukutukana na Kuwa Muongo.. Kifupi umeoa Malaya na siku zote Asili haachi Asili yake.. Haijawahi kuwa Kunguru akafugika kama Kuku...Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.
Kuna wakati anaaga anaenda sehemu kumbe anadanganya anaenda mahali pengine. Kuna siku baba mkwe akanipigia simu baada ya kujua kadanganya hakwenda alikoaga anaenda, akaniambia niwe namweleza kila uchafu anaofanya mke wangu. Lakini naona siyo poa kumwambia kuwa mwanao ananitukana na ni muongo.
Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.
Kinachooniuma ni kwamba mimi ni mkristo na ndoa zetu zikifungwa hakuna kuachana. Nifanyeje? Nahitaji ushauri mzuri na wa hekima. Natanguliza shukrani.
Umesoma bibilia vizuri lakini au unasikia tu kwa watu kuwa hakuna kuachana? Kasome uthibitishe mwenyewe ili ujue hatua za kuchukua. La sivyo uvumilie tu ndo mapenzi yalivyo.Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.
Kuna wakati anaaga anaenda sehemu kumbe anadanganya anaenda mahali pengine. Kuna siku baba mkwe akanipigia simu baada ya kujua kadanganya hakwenda alikoaga anaenda, akaniambia niwe namweleza kila uchafu anaofanya mke wangu. Lakini naona siyo poa kumwambia kuwa mwanao ananitukana na ni muongo.
Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.
Kinachooniuma ni kwamba mimi ni mkristo na ndoa zetu zikifungwa hakuna kuachana. Nifanyeje? Nahitaji ushauri mzuri na wa hekima. Natanguliza shukrani.
I miss you Masala Kulangwa, ng'wana wa Nyambitipole