Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,005
- 3,530
Kama hampendi majukumu na zinaa pia muache.Kwanini mnapataga mimba hovyo hovyo tu, kumbukeni kwasasa wanaume wengi hawapendi majukum

Well saidPole dear.... Nisikufiche kua single mother ni Kazi ngumu sana.... Unatakiwa ufanye Kazi kwa bidii.... Sa hv na hata ukijifungua usijihusishe na mwanaume yoyote... Jihusishe na kutafuta na kufanya Kazi....... Na siku huyo baba mtoto akirudi jitahid sana kutuliza hisia zako usijaribu kumrudia
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Binti kwani matumizi hakupi? Maana hapo naona kama Jamaa amekimbia majukumu yake ila kama anakupa kuwa mpole vumilia wanaume wengine ukiwa na Mimba inawezekana unamkwaza Hadi anashindwa kukaa na weweNina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Wapenda Gym wengi na skendo za ushoga na waume za watu
Wengine hulamba koni na hela anakupa,sio masihara mwenyewe limenitokea,.www.jamiiforums.com
Kwa bandiko lako hili hapa ni dhahiri na wewe ulienda gym kuwinda na kushawishi vijana wenye six pack sasa wamekulisha kande zilizochacha umevimbiwa unalalamika,sometimes kulikuwa na mwamba alitaka hadi kukuowa but kwa kukosa kwake six pack ukamuona lofa.
Kimasihara masihara unaenda kuwa single mama!yaani unaenda kuongeza kelele mtaani za wanaume wote ni mbwa kumbe mbwa ni wewe uliyeshindwa kuyatuliza mapaja yako.
Were no mjinga. Wanaume wenyewe was kuoa wake wapi?Unabebaje mimba nje ya ndoa
mjinga kabisa wewe
Single mothers asilimia kubwa huzungumza negative kuhusu wenza wao! Wengi huficha makosa kwa kutupa mzigo wa lawama kama hivyo kutelekezwa na wanaume,ilhali unaweza kuta yeye mwenyewe ndo mwenye makosaNina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Wakati unapanda hiyo mimba ulikuwa unachekelea, viuno kama vyote. Sasa subiria mavuno yake baada ya miezi mitatu, sio kulialia hapa. NonsenseNina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
mbona umeumia sana mkuu, kwani na wewe una mimba na mwenye nayo kakimbiaWere no mjinga. Wanaume wenyewe was kuoa wake wapi?
Nyie pimbi chips zimewaharibu mtaoa kweli?
Msichana afikishe miaka zaidi ya 25 si unawatakia majanga kweli?
Ndio wakati wanasema yeyote mwenye mkuyenge ni halali yake ili mradi azaee tu.
Ndio wanazaa na watch mapimbi kama wewe.
Huyo dada asilaumiwe sana ingawa ni mjinga mjinga, ana zaidi ya miaka 26 sasa. Alikuwa anadengua sana wakati chuchu saa 6.
Six pack bila hela ni sawa na tako bila kinyeo.
Huyu anakuwa mtoto wa ngapi?Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Wapenda Gym wengi na skendo za ushoga na waume za watu
Wengine hulamba koni na hela anakupa,sio masihara mwenyewe limenitokea,.www.jamiiforums.com
Kwa bandiko lako hili hapa ni dhahiri na wewe ulienda gym kuwinda na kushawishi vijana wenye six pack sasa wamekulisha kande zilizochacha umevimbiwa unalalamika,sometimes kulikuwa na mwamba alitaka hadi kukuowa but kwa kukosa kwake six pack ukamuona lofa.
Kimasihara masihara unaenda kuwa single mama!yaani unaenda kuongeza kelele mtaani za wanaume wote ni mbwa kumbe mbwa ni wewe uliyeshindwa kuyatuliza mapaja yako.
Hongera sana unaenda kuwa mama! Usiangalie mazingira ya wewe kupata mimba badala yake mshukuru mungu anakuletea ndugu yako wa dam! Usimlaumu kabisa mwanaume huyo wala usijilaumu wewe! Hiyo ni baraka umepata!!Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa