Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Ndio maana ushoga hautaisha nchi hii, sasa ukute hili ni dume na linatarajia kuoa unafikiei huyi atakayeolewa atafaidika nini wakati kaolewa na mwanamke mwenzake?
Kweli duniani ni wanawake tu ambao 100% ni wanawake ika wanaume wapo amabao wanawake. Kama unajifanya jike for the sake of jf unafikiri ukikibana hili jitu kwenye ukuta hulifumui marinda?
 

UNAHARIBU TU MAISHA YA WATOTO WAKO. HATA KAMA HAMUWAPENDI WAUME ZENU TULIENI KWA AJILI YA WATOTO. SIO SWALA LA ROHO KUKUSUTA, ATAKUJA TU KUJUA SIKU MOJA. HILI LIPO WAZI .....
 
Wadada bhuana kweli acha tuwe tunawacheat tu .. Yaani unaona mtu ankuangalia adi ubikini wako na bado kesho unarudi akusafishe tena!
 
Kwanza huyo mumeo bwege aloacha anokuruhusu wewe ukachezewa miguu na wanaume wengine!! Hivi nyinyi kina dada mna nini hasa hemu hiyo kazi ya kusafisha kucha mpe mumeo!! Mim upuuzi huo siutaki hasaa kucha nasafisha mwenyewe hivyo hicho kibikini nakiona mwenyewe!!! Wanaume tujikazeni hawa watu hawajitambui
 
stori tu hizo. Tunashukuru umewatahadharisha wenzako juu ya wasafisha kucha!!
 
Pima ngoma kwanza
 
Niite mshamba lakini mimi siku zote huwa sipendi mke kuoshwa kucha. Kama hawezi kujisafisha atajiju. Huu upuuzi ndio matokeo hayo
Anyaway hongera kwa kuwa mwanamke kahaba, rahisi kiasi hicho na usisite kumwambia mumeo.
 
Simwamin mwanamke maishan mwangu na simpi moyo wangu coz iko siku atanivunja moyo tu. Nikiona mtt nina mashaka nae DNA ni lazima tupimane. Siku hizi huwezi zaa na mkeo mpk wtt wa3 asichakachue mmoja hapo katikati
Inategemea una chenji kiasi gani, DNA very expensive
 
Kwani mchora kucha hana?
Naimani ushampa zaidi yamara4
Siku mnapeana ulikua unamuona ka baharesa leo amukupa kitambi ushomwona mchora kucha
Acha zarau na kujishebedua[emoji1549],,ungekua na wewe unajiheshim usingemzalilisha mmeo kwa huyo uliomtambua mchora kucha baada yakufunga goli la mkono
 
kwa asilimia kubwa wanawake wanapenda vitu vidogo vidogo ama vitu vya anasa tena kwa mteremko ama dezo dezo (bure) na ndipo vinapokuja kuwatokea puani kama huyu mhanga
Tamaa zoa huwa zinatoka kwa hawa watu
1- wauza urembo
2- wapaka rangi kucha na kusugua migu
3- wauza vyombo vya ndani
4- wauza mboga mboga mtaani
5- masonara
6- mafundi simu
7- wauza genge (soko dogo)
8- Bodaboda
ukiona mwanamke wako anamazoea na hawa watu Brother kuwa makini Kuliko navyo kueleza
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa wewe unakereka na hayakuhusu, je mumewe!!(kama story ingekuwa kweli lkn)
hahaha
imeniuma sana hii story kwa kweli
tatizo mumewe hajui anaona ni sawa tu anajihisi yeye ndio dokta mwaakaa, kumbe kitoto si chake
 
hahaha
imeniuma sana hii story kwa kweli
tatizo mumewe hajui anaona ni sawa tu anajihisi yeye ndio dokta mwaakaa, kumbe kitoto si chake
Ndio hivyo bwana, leeni tu maana kitanda hakizai haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…