aaahIla si umeona now anatamani kuwa kwenye mikono ya nani zaidi?
Ndio muwe mnahudumia wanawake zenu vizuri, sio kuwaweka ndani na kufikiri basi inatosha. Inabidi mjiongeze kama mnavyotaka wanawake tujiongeze nanyi mnamengi ya kufanya kwao.
sema types za watu kama hawa huwa zipoKabisaaa jiranii
Ahamie Mara ngap Wakat tayar mgegedo wa mumewe hauna Raha tenaNingemwambia ahamie kwa mchora kucha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibu mubasharaMuulize Frola Mbasha anajua mbinu
Wanaume wa jf wengi wachovu kila siku kulialia wanatuaibisha sana wengine hatuko hivyoNi kweli, ila ndio mjifunze kuhudumia wanawake zenu vizuri.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] unamteka mazimaSawa, basi badili ubini wako uwe wa huyo msafisha kucha, cku ukizaa na msusi pia tumia ubini wake, ila ukija ukizaa na mimi ambaye ni mtekaji utakuwa mwisho wako wa kubadilibadili ubini wako!
aaaaahahahahahahaaaa
alikuwa ana mtega tu msafisha kucha hana llte
hahahaNdio mjifunze kulea wanawake vizuri. Now anapewa mapenzi na kuduiwa motomoto kupita mume. Mume ni wakumlaumu kabisa, acha walee mtoto wao wapili, muhimu asimwambie wa kucha lolote lile juu ya mimba. Imetokea na amwachishe kwenda kwao, mtoto akizaliwa watu wasije kusema mbona kafanana na wa kucha...hapo sasa
Majirani au wasaidizi wa kazi ni wadaku sana
Kurudisha furaha ni kutubu tu ndo furaha itarejea mwambie mumeo ukweliNaomba ushauri wako mkuu. Nichukulie kama dadako unipe ushauri ili nirudie furaha yangu ya awali
Ama kweli, huyu ni Sexless!
Wanaume wa jf wengi wachovu kila siku kulialia wanatuaibisha sana wengine hatuko hivyo
Mi mwenyewe nilikuwa nashangaa maana najua mwanaume huyu ila huenda kuna story ameamua kutuletea tuchangamshe vidole kujibuHuyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Laba nikuulize wewe Shemeji yetu anakutendea haki au ndo team kulialia.Sisi tuliofunzwa hatuna tabu tunaheshimiana na wake zetu kutokana na uwajibikaji wetu kila idaraHa ha haaaaa
Ambao hamko hivyo mnayatenda ya kuridhisha wenu? Kabisaaaa bila wasiwasi? Muhimu muwe marafiki na kuelezana kila kitu na mautundu yote mnapokuwa dunia ingine bila kuoneana aibu. Mkioneana aibu basi hamjawa wamoja bado
hahaha
coco, the cheater will cheat no matter what
si awe kama Flora tu, alipiga chini wa kwanza, kabeba dogo mwingine , kwanini sasa mnajipa kaz kusongizia mimba!?
aende aka lelewe na msafisha kucha tuone, ndio nikasema huyo haridhiki tu mwenyewe
Laba nikuulize wewe Shemeji yetu anakutendea haki au ndo team kulialia.Sisi tuliofunzwa hatuna tabu tunaheshimiana na wake zetu kutokana na uwajibikaji wetu kila idara
ohooo! huyo ambayae hajaonja sana siku akitoka tu, aka oata wasaa wa kuonja wanakuwaga hawakamatiki.Hapana jamani hiyo ya kusema haridhiki hapana, angeridhika au kupewa uroda huyo hasingewini.
Lingine wanaume muwe mnaoa wanawake waliodate wachache mbili tatu, nne tano ha ha haaa na kuonja onja kabla ya ndoa, haya huwa hayatokei wanakuwa wanajua mengi na kujua mambo yalivyo. Wanakuwa wameshiba
Sasa mnakimbilia wale mnasema walifunga pichu, wengine mnawaita malaya eeeeh mnategemea nini!?
Au ukute ww ndo Wangu nimeshtukaKwa bahati mbaya mimi humu siwezi hata kuwa ni ID feki kuongelea yangu ya undani. Ujue hata kwa watu sizungumziii. Nimefundwa mimi jamani, nimefundwa kwenye mengi eeeh hadi raha usisikie
So jibu utakuwa umelipata ati au?
Nakugusia tu kuwa ni urodaaaaaaaaaaaaaa haswa.
ohooo! huyo ambayae hajaonja sana siku akitoka tu, aka oata wasaa wa kuonja wanakuwaga hawakamatiki.
mapenzi hayana formula coco, nyie wanawake pia hamna formula ni kuish na nyinyi kwa akili bas hakuna jengine
Au ukute ww ndo Wangu nimeshtuka