Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Wee malaya tu, unattombwaje na msafisha kucha tena bila kondom?
Malaya tu wewe kafie mbele.
 
inaonekana unatuchezea sana humu JF na story zako za kijinga kila siku unaleta mada za ajabu hueleweki wewe wa kiume au wa kike?
 
Sema nini wewe jamaa una story za kichoko sana Mara ulitolewa kizazi huwezi kuzaa , Mara una watoto acha uboya
 
Mmmmh.....Hakiakweli. nahic kutokwa na machozi...bt anyway....
 
hakuna usalama mwanamke na mwauame wasio ndugu wanapokaa peke yao mahali pa kuwapa nafasi ya kumfungulia shetani mlango. kaeni mbali mkitaka kupunguza vishawishi
 
Ongera
 
Haya makampuni yako wapi? Mbona wamelala sana!!! Siku kampuni likaibuka na kipimo cha rapid cha DNA wakati wanapiga bingo, nadhani dunianibkutakuwa na mtaftano wa kufa mtu! Patachimbika, wapo watakaokufa, wapo watakao torokea kusikojulikana, wapo watakaokiri na kusamehewa, all in all ndoa nyingi zinavunjika
 
I assume baada ya kumkubalia alisogeza bikini pembeni akaanza chumvini..maana wote mmekutana hamjui hata umuhimu wa kupima...

Sikuhukumu na sina ruhusa hiyo but unapaswa kuomba toba kwa Muumba wako kwa kuvunja agano lako la ndoa
 
Huyu ni mwanaume anajiita Sexless, juzi amepost "Mume wangu anajisumbua bure, mimi siwezi shika mimba..." Leo tena eti kajazwa mimba na mpaka rangi. Jamani ukitaka kuandika riwaya ipe heading inayofaa usijiweke ww ndo main character. Duu, endelea kuchangamsha kijiwe bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…