Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Hii ni siri yangu mm mume wangu hajui kabisa. Ila inaniumiza nafsi na kunikosesha raha.
C umeyataka ww mwnyw,... Ila ndo maisha yalivogo samtymz, raha kwanza then madhara bdae... Pole! Ungekua ni mke wangu lazma ningekugundua tu then talaka fasta.... Hufai kbsa ww mkuu! ***nz
 
Hivi kama ana ukimwi au magonjwa ya zinaa
halaf una mume loving husband with blessed children....

Msafisha whaaat...?
 
Endelea tu kufurahia mgegedo wa muosha Kucha hakuna tatizo
 
Simwamin mwanamke maishan mwangu na simpi moyo wangu coz iko siku atanivunja moyo tu. Nikiona mtt nina mashaka nae DNA ni lazima tupimane. Siku hizi huwezi zaa na mkeo mpk wtt wa3 asichakachue mmoja hapo katikati
Good strategy..
 
Atakataa vipi sasa wakati tunalala na kupakua kila siku? Anaanzaje kukataa? Wala hajui baba wa watu. Mm nimemwambia tu kuwa "mume wangu sizioni siku zangu". akasema baraka ya mtoto mwingine hiyo mke wangu.
Laana hiyo ndugu yangu. Umemkosea sana mumeo. Umemkosea sana Mungu. Na kuna siku ukweli utajulikana... sijui sura yako utaificha wapi
 
Yani nikisikiaga stori kama hizi roho inaniuma nahisi kama dem wangu ndio anatafunwa kirahis namna hii!!
 
Hizi ndoa hizi na hawa wanawake wa leo,ndio maana watu hatukimbilii kuoa.huu ujinga nani anautaka?
 
Tabia haijifishi wewe ni Malaya tu.Na hili umelileta humu KOZI ya mimba ILA inaonekana unamengi sana hukuyaleta humu . Nakushauri umwambie tu Mumeo ili ajue Koz Mungu atakujuja Kukuumbua tu. Nenda kwa Msugua kucha aendelee kukupa raha umeshasema sikuhizi haufurahii tenda tendo Na mmeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…