Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,460
Wanaume sio malayaTeh teh teeeeh!! Umalaya wenu huwa hamuuoni!!
Yaani huyu msafisha kucha wa huku kwetu ni kijana mdogo tu sema ana ule upole wa kiuplayer flani ivi... Hana haraka anapozungumza na anakuangalia machoni mpaka unaona aibu mwenyewe... Yaani anasafisha kucha huku anakuangalia... Anagusa mguu kama vile utosi wa mtoto mchanga... Nikajikuta nampa namba pale alipoombaHmmmm! Kumbe wasafisha kucha wanafaidi eeh! Unasafisha kucha huku unapapasa nyayo bi dada anasikia raha za ajabu na sauti kubadilika huku macho yakiwa yamerembuka. Msafisha kucha anaweka miguu vizuri ili aendeelee na kazi yake kumbe anataka kuangalia picchu aone ni ya rangi gani aisifie huku akiomba digits. In few days msafisha kucha anaomba papuchi kupitia digits alizopewa. Bila shaka usafishaji kucha ni ajira bomba sana wateja tele na ukijua kazi yako basi hukosi kuziona picchu na hatimaye kuomba papuchi. Paprika hii mimba ya nani!? Ya msafisha kucha. Tobaaa!
Thibitisha.Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Yaani huyu msafisha kucha wa huku kwetu ni kijana mdogo tu sema ana ule upole wa kiuplayer flani ivi... Hana haraka anapozungumza na anakuangalia machoni unaona aibu mwenyewe... Yaani anasafisha kucha huku anakuangalia... Anagusa mguu kama vile utosi wa mtoto mchanga... Nikajikuta nampa namba pale alipoomba
Thread nyingi nyakati hizi ni za kupotezeana muda tu hapa JF, mtu unajitutumua kumshauri mtu kumbe uongo anasemaWewe dada nakuhurumia... 30 yrs!
Pitien hii post mumuone huyu aliyepewa mimba na msafisha kucha
Nishamkamata! Mi nilidhani niko spesho... Inaelekea anawafanyia wengi tu hivyo. Huyu dada kanifungua macho.Hapo kwenye rangi juhudi kidogo tu za huyu msaficha kucha zinahitajika ili akuvue picchu. πππ
Nishamkamata! Mi nilidhani niko spesho... Inaelekea anawafanyia wengi tu hivyo. Huyu dada kanifungua macho.
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".
Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lkn kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.
Kiukweli sina sabb ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwann nilimsaliti mume wangu. Sina sabb ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.
Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi ktk nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo Wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili.
Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lkn nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kiviiiiiile.
Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba nilyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mm, mume wangu na wazazi wangu.
Shetani wa mguu mmoja ..sasa na yeye si atakuwa msafisha kucha...tabia zake tu kila.mtu atajua sio wa nyumba hiiiyoCeline Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".