Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Muulize BASHITE
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] ohooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji mbona mbio tena!! Au ulisahau kuwa kuna dhambi zingine na zote ni sawa tu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji mbona mbio tena!! Au ulisahau kuwa kuna dhambi zingine na zote ni sawa tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila wale wa kusingizia ni moto grade A.

umenifanyia ile ya Yesu, "asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe " imebidi nitulie mwenyewe
 
Naendelea kupata sababu za kutokuoa kila siku
 
Story yako ni nzuri sana ila ingependeza zaidi kama ingeandikwa na mtoto wa kike mwenyewe kuliko mwanaume anaye act kuwa mwanamke.
 
Asante kwa kunitia moyo na kunitetea. Kuwa kwangu muwazi kwenu leo ndiyo wananipa jina chafu la umalaya? Wake zao wameficha makubwa zaidi ya haya. Wapeleke watoto wao kwenye DNA machine waone.
Wewe mwanaume huoni aibu ku act mwanamke ?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila wale wa kusingizia ni moto grade A.

umenifanyia ile ya Yesu, "asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe " imebidi nitulie mwenyewe
Kumbe kuna grades za moto!! Shemeji we utakuwa kwenye grade ipi?
 


Halafu utoe album kama madam Flora tutanunua tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada unapenda kuona wanawake wanasemwa hovyo, kilichokufanya ujifanye mwanamke ulete huu upuuzi hapa ni nini?
 
Kwahiyo ndo umeona utuletee umalaya wako huku sio?endelea kuliwa tuu papuchi ni Mali yako.
 
Hii hatari sana,yani uliweza kuvuliwa bikini ukagawa penzi bila ndomu,kwa msafisha kucha uliyemuona siku moja!?Mpk na mimba amekupa?
Asee hii ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…