Wee unamshaurije MTU aache kunyonyesha? Nani kakwambia MTU akiwa mjamzito kunyonyesha ndo basi? Mafunzo ya wapi hayo? Acha kukurupuka na kutoa mafundisho dhoofu na potofu.Acha kunyonyesha haraka sana bila hvyo utamuaharibu mtt anza kumpa mtt maziwa ya lactogen 1 na akifikisha miez 6 anza kumpa vyakula lain lain
Kwa hiyo nimuachishe kumnyonyesha? Maana bado namnyonyesha na sijawahi kumpa chochote tofauti na maziwa yangu
Mkuu tufurahie mtanzania mwenzetu yuko njiani anakuja, hayo yameshapita, hata hivyo ukiwa na mtu wako condom ni vigumu sana kukumbuka.
The BabyCentre editorial team. Yes, your body will carry on making milk while you're pregnant, so you will be able to breastfeed. And after the birth you can breastfeed both your babies (tandem feeding), if you'd like to. Breastfeeding during pregnancy is fine if your pregnancy is going well, and you are healthy.Kwa hiyo nimuachishe kumnyonyesha? Maana bado namnyonyesha na sijawahi kumpa chochote tofauti na maziwa yangu
Usimuachishe endelea kunyonyeshaKwa hiyo nimuachishe kumnyonyesha? Maana bado namnyonyesha na sijawahi kumpa chochote tofauti na maziwa yangu
Mtoto hawez haribika mi ilisha nitokea nilibeba ujauzito mtoto akiwa na miez mitano nikashauriwa na daktar kuwa ninyonyeshe hadi mimba ikifika miez saba nimuachishe na wala mtoto hakuharibika nilimnyonyesha mimba ilipofikisha miez saba nikamuachishaAcha kunyonyesha haraka sana bila hvyo utamuaharibu mtt anza kumpa mtt maziwa ya lactogen 1 na akifikisha miez 6 anza kumpa vyakula lain lain
mie ckujui hli mtapga show afta 4months! mie nljua aktoka 40 mpira unawekwa kati uwanjani,Mkuu kama hauna mshono basi usihofu kabisa maana hata kule hospital najua walikueleza kuwa uanze kufanya mapenzi baada ya miezi 4 toka ulipojifungua maana yake una uwezo wa kuwa mjamzito baada ya hiyo miezi 4.Acha hofu zisizo na msingi shida labda uwe una uwezo wa kuwahudumia hao watoto kama uwezo unao hakuna shida yoyote! pia achana na mambo ya wazungu sijui uzazi wa mpango emu jaribu kuangalia katika ukoo wenu au familia yenu unakuta mumepishana mwaka 1 na wote mmekuwa vzr tu mpaka sasa
Rafiki hiyo theory inaapply Kama unanyonyesha usiku angalau mara tatu. Nimependa ushauri wakoDo ile theory ya kuwa ukiwa unanyonyesha mimba haiwezi kushika si kwa wote, wengine wakijaribu tu ni kitu na box. Kula vizuri na kufanya mazoezi, jitahidi kutembea hata kwa nusu saa kila siku kama utaweza.
Jitahidi kubalance mapenzi kati ya hawa watoto wote, kwasababu wako karibu huyu aliyetangulia pia atahitaji kupendwa kama mwenzake. Wazazi wengi wanajisahau na attention yote inahamia kwa mtoto mchanga.
Hapa umepata ushauri mwingi wa kitaalamu,fanyia kazi,wala usiwe na hofu,maana hapa jamvini kila sampuli ya mawazo ya kitaalamu yapo.Bado sijaenda hospitali , nimeolewa, nina mtoto mmoja tu, umri wangu ni 29 yr,