Nina milioni tano nataka kuagiza gari Japan

Mil 10 pamoja na gari au kodi tuu?
Jamani mm nilivyo muelewa anasema milion 5anayo ya kuagiza gari,,ushuru usizidi milioni 6,pamoja na gharama zote..japani kuna gari mpaka dollar 1850 CIF au gharama mpaka bandarini.ambayo sawa ma milion nne kasoro kidogo..kwahiyo akitafuta ushuru pamoja na agent fee,portchargies m6..anaweza kupata gari.ilakama ndio million 5kilakitu...ningumu haitakaa itokee...atafute tu hapahapa gari atapata
 
Unapoagiza gari nje, inategemea ni aina gani ya gari unayoitaka baada ya hapo utaweza kupewa details zake kuanzia bei ya gari, gharama za usafirishaji paka ifike bandarini na ushuru wa kuitoa bandarin. Ushuru unategemea na gari ni aina gani kuna gari paka usd 1500 lakini ushuru unakuta upo juu. Kwa hio budget yako labda paka gari ifike bandarini tu bila ushuru.
 
Back
Top Bottom