Nina milioni tano nataka kuagiza gari Japan

Hahahaaaa unafurahisha kweli,tena omba usiagize Nissan Italia **** MTU kaagiza nisani serene mpaka dar kwa million tank,TRA wakataka kodi milioni 8, kimbembe ikishuka bandarini wanapeleka bandari kavu kama huna mwenyeji utazunguka bandarini kama feni mpaka uje ujue IPO bandari gani machozi yanakutoka,unatakiwa uifanyie service kubadilisha matairi,kuipiga Ribeti manaake nyingine huwa zinakuja zimefumukafumuka,wastani andaa million kumi na tatu kuitoa bandarini mpaka kwako
 
Jamani mm nilivyo muelewa anasema milion 5anayo ya kuagiza gari,,ushuru usizidi milioni 6,pamoja na gharama zote..japani kuna gari mpaka dollar 1850 CIF au gharama mpaka bandarini.ambayo sawa ma milion nne kasoro kidogo..kwahiyo akitafuta ushuru pamoja na agent fee,portchargies m6..anaweza kupata gari.ilakama ndio million 5kilakitu...ningumu haitakaa itokee...atafute tu hapahapa gari atapata
Mkuu gari za bei rahisi nyingine za longtime kwahiyo ongeza ×25%,kabla ya kodi
 
Wajapenga hawana noma watakuuzia gari zuri tu ila sasa pale bandarini ndio msala utakapoanzia.
 
Kuna gari inaitwa nissan duet kwenye show room unapata kwa six mil net... Kwa kuagiza inapungua zaidi ya hapo. Usidanganyike. Nenda katika mitandao ya be forwarded au car junction angalia utafanikiwa tu. Usife moyo. Goodluck
Nissan Duet? Naona hii labda wajapan ndo wamevumbua 2017 hii. Sijapata kuisikia. Ndo ww unatangazia ulimwengu kwa mara ya kwanza.
 
yani hela unayotaka kununulia gari basi na ushushuru uandae sawa na hiyo hela unayotaka kununulia hilo gari, sasa hapo andaa mil 5 nyingine
 
Back
Top Bottom